Katibu Msaidizi wa Chama cha Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola (CPA) Kanda ya Afrika Ndugu Daniel Eliufoo akizungumza na waandishi wa habari katika Hoteli ya Gran Melia Jijini Arusha kuhusu Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Kanda hiyo utakaofanyika Jijini Arusha tarehe 1-6 Oktoba, 2024


0 Comments