RAIS DKT.SAMIA SULUHU HASSAN AZINDUA KITABU CHA HAYATI EDWARD SOKOINE



Rais Dkt Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na familia  ya Hayati Edward Moringe Sokoine aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Baada ya kuzindua  kitabu hicho.
 Rais Dkt. Samia akibonyeza  kitufe kuashuria uzinduzi wa  Kitabu kinachohusu Maisha na Uongozi wa Hayati Edward Moringe Sokoine, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Uzinduzi huo umefanyika leo Septemba 30 kwenye Kituo Cha Kimataifa Cha Julius Nyerere (JNICC)  Jijini Dar es Salaam. 
Familia na viongozi mbalimbali waliohudhuria uzinduzi wa  Kitabu kinachohusu Maisha na Uongozi wa Hayati Edward Moringe Sokoine, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Uliofanyika kwenye Kituo Cha Kimataifa Cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam  leo tarehe 30 Septemba  2024.

Post a Comment

0 Comments