Waziri wa Wizara ya Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe.Jerry Silaa ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ukonga Jijini Dar es Salaam amegawa majiko ya gesi ya kupikia mama lishe jimboni kwake ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kumuunga mkono juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan za kuhamasisha jamii kutumia nishati safi ya kupikia.
Bi Khadija Kawagele mkaazi wa Pugu Kajiungeni amesema katumizi ya nishati safi yatamsaidia kupika chakula kwa wakati na kuepukana na kutumia muda mwingi kutafuta nishati mbadala ambazo hazina mazingira rafiki kwa afya.
Uzinduzi wa Hotel ya Hyatt Regency Kuongeza Uchumi na Utalii wa Kenya
-
Katika hatua muhimu kwa sekta ya utalii na uchumi wa Kenya, Hyatt Hotels
Corporation rasmi imezindua hoteli yake ya kwanza katika nchi hiyo, Hyatt
Regenc...
1 hour ago
0 Comments