Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili Mkoani Kilimanjaro leo16 Septemba 2024 ambapo anatazamiwa kuwa kuwa mgeni rasmi katika kufunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi na maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi yatakayofanyika Shule ya Polisi Tanzania (TPS)-Moshi Kilimanjaro Septemba 17, 2024.
TRA WAWASHUKURU GF TRUCK LTD NA LINDI EXPRESS LTD
-
Kaimu Kamishna Msaidizi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), ldara ya Kodi
za ndani, kitengo cha walipakodi wa kati Godwin Barongo pamoja na
Watumishi...
4 hours ago
0 Comments