RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA JESHI LA POLISI LA TANZANIA


Na Mwandishi Wetu, Moshi Kilimanjaro 

On Diplomatic Relations” ya mwaka 1961.

“Tamko lililotoka likituambia tufanye moja, mbili, tatu, sisi tunajua cha kufanya kama nchi huru. Ni imani yangu kuwa tamko hilo halikutolewa na viongozi wakuu wa mataifa hayo. Kwa sababu nina njia ya kuwasiliana na marais wenzangu ili kuthibitisha kama kweli walitoa maelekezo hayo, na kama sivyo, nitawasilisha malalamiko yangu kwao.”

Rais Samia amesisitiza kuwa Tanzania inajiongoza kwa katiba, sheria, mila na desturi zake, na si lazima kuelekezwa nini cha kufanya.

“Mambo kama haya yanatokea kila nchi, si Tanzania pekee. Inapotokea kwetu, inauma, lakini matukio haya siyo ya kipekee kwetu. Kila mahali kuna changamoto kama hizi. Kwa mfano, utaona mtoto kachukua bunduki, kenda shuleni na kuwaua wenzake. Haya yanatokea kwa njia mbalimbali,” amehitimisha Rais Samia.
 Rais na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki kwenye kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Moshi Mkoani Kilimanjaro.



Gwaride la heshima lililoandaliwa  na jeshi  la Polisi la Jamhuri  ya Tanzania 17Septemba 2024.
Baadhi ya maonesho  ya Askari  wa Jeshi la Polisi la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 
Rais na Amiri  Jeshi Mkuu Mhe.  Dkt.Samia Suluhu Hassan  akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa na  Jeshi la Polis la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  katika viwanja  vya Shule ya Polisi Tanzania  (TPS)iliyopo Moshi Kilimanjaro. 17 Septemba 2024.

Post a Comment

0 Comments