RAIS DKT.SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGA KIKAO MAALUM CHA BARAZA KUU UWT


Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya picha kutoka kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Bi Mary Chatanda leo 28 ,Septemba  alipokua mgeni rasmi kufunga Kikao Maalum cha Baraza Kuu la Jumuiya ya Wanawake wa Tanzania (UWT) Taifa.
Rais Dkt. Samia  Suluhu Hassan  akisalimiana na  Viongozi  pamoja na Wajumbe kabla ya  kufunga Kikao Maalum Cha Baraza Kuu la Jumuiya ya Wanawake wa Tanzania (UWT) Taifa katika Ukumbi wa  Parokia ya Bombambili ,Wilayani Songea Mkoani Ruvuma  leo 28,Septemba, 2024.
Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan  ,Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Bi Mary Chatanda.
Wajumbe mbalimbali  waliohudhuria  kikao  maalumu  cha Baraza  la Jumuiya  ya Wanawake  Tanzania (UWT) ambacho  Mwenyekiti  wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt Samia Suluhu Hassan  amekifunga rasmi leo 28,Septemba, 2024.
Rais Dkt. Samia amefunga Kikao Maalum cha Baraza Kuu la Jumuiya ya Wanawake wa Tanzania (UWT) Taifa leo 28,Septemba ,2024.

Post a Comment

0 Comments