Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mwenyekiti wa Kamati ya ya Kitaifa ya Baraza la Mashirika ya Kisiasa la Watu wa China Mhe.Wang Huning Beijing nchini China 04 Septemba ,2024.
(PICHA ZOTE NA IKULU)
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja kabla ya kuanza mazungumzo na Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa Baraza la Mashauri ya Kisiasa wa watu wa China Mhe.Wang Huning Beijing nchina China 04 Septemba, 2024.
0 Comments