Mbunge wa jimbo la Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda akikabidhi hundi ya shilingi milioni 45 kwa vikundi vitatu vya wajasiriamali wa halmashairi ya Mpimbwe wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi kutoka benki ya CRDB kuvijengea uwezo.
Mbunge wa jimbo la Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda akiwa na washiriki semina ya kuwajengea uwezo wajasiriamali wa halmashairi ya Mpimbwe wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi tarehe 12 Sept 2024
Na Munir Shemweta, WANMM MLELE
Mbunge wa jimbo la Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amekabidhi hundi ya shilingi milioni 45 kwa vikundi vitatu vya wajasiriamali wa halmashauri ya Mpimbwe wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi kutoka benki ya CRDB kuvijengea uwezo.
Mhe Pinda amekabidhi hundi hiyo tarehe 12 Sept 2024 wakati akifungua semina ya siku moja ya kuvijengea uwezo vikundi vya wajasiriamali wanawake na vijana kunufaika na programu ya IMBEJU katika kata za halmashauri ya Mpimbwe wilayani Mlele mkoa wa Katavi iliyofanyika kata ya Majimoto.
Vikundi vilivyokabidhiwa kiasi hicho cha fedha ni Nguvumoja Kashishi, Imani Kashishi pamoja na kikundi kingine kitakachokidhi vigezo vya kuwezeshwa.
Sehemu ya washiriki wa semina ya kuwajengea uwezo wajasiriamali wa halmashauri ya Mpimbwe iliyoendeshwa na CRDB kupitia program ya Imbeju tarehe 12 Sept 2024.Mbunge wa jimbo la Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda azungumza na wajasiriamali wa halmashairi ya Mpimbwe wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi wakati wa semina ya kuwajengea uwezo iliyoendeshwa na CRDB kupitia program ya Imbeju tarehe 12 Sept 2024.
Mbunge wa jimbo la Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda akikabidhi hundi ya shilingi milioni 45 kwa vikundi vitatu vya wajasiriamali wa halmashairi ya Mpimbwe wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi kutoka benki ya CRDB kuvijengea uwezo.
0 Comments