Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Tambaza wakiwasilisha kwa njia ya sanaa kuhusu huduma zinazopatikana katika Chama cha Hazina Saccoss wakati wa mashindano ya Hazina Club yaliyowakutanisha wanafunzi kutoka Shule za Sekondari Kisutu, Kigogo, Turiani, Mzimuni, Migombani, Minazi Mirefu, Tambaza, Makumbusho, Kambangwa na Kinyerezi, za jijini Dar es Salaam, ambapo wameshindana kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu elimu ya fedha, mikopo inayotolewa na Hazina Saccoss pamoja na fursa zilizopo katika vyama vya ushirika, tukio lililofanyika katika Shule ya Sekondari Kisutu, jijini Dar es Salaam.
Shule ya Sekondari ya Kinyerezi wakikabidhiwa zawadi ya Luninga, baada ya kuwa washindi katika sehemu ya uwasilishaji wa mada katika mashindano ya Hazina Club yaliyowakutanisha wanafunzi kutoka Shule za Sekondari Kisutu, Kigogo, Turiani, Mzimuni, Migombani, Minazi Mirefu, Tambaza, Makumbusho, Kambangwa na Kinyerezi, za jijini Dar es Salaam, ambapo wameshindana kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu elimu ya fedha, mikopo inayotolewa na Hazina Saccoss pamoja na fursa zilizopo katika vyama vya ushirika, tukio lililofanyika katika Shule ya Sekondari Kisutu, jijini Dar es Salaam.
kutoa mafunzo kama haya kwa vijana mashuleni ili kuandaa taifa la kesho kuweza kusimamia fedha na kupata wananchi wanaokopa katika vyanzo sahihi vilivyo rasimishwa na Serikali” alisema Bw. Mafaransa
Akizungumza kwa niaba ya wanafunzi walioshiriki mashindano hayo, Paul Mwita Sibora kutoka Shule ya Sekondari Tambaza, aliishukuru HAZINA SACCOSS kwa kuanza kutoa elimu ya fedha kuanzia ngazi ya chini kabisa kwa kuwa ni njia bora ya taifa la kesho.
“tutakua mabalozi bora kwa wazazi wetu na watu waliotuzunguka na kuwaeleza namna ya kujiunga na pia fursa zilizopo Hazina Saccoss“ alisema Bw. Sibora.
Mashindano hayo yanatarajiwa kuendelea nchi nzima kupitia Shule za Sekondari ikiwa na lengo kubwa la kuhakikisha vijana wa taifa la kesho wanakua na uwezo wa kusimamia vyema masuala ya fedha.
Afisa Ushirika wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Bi. Mihayo Malunde, akizungumza wakati wa mashindano ya Hazina Club yaliyowakutanisha wanafunzi kutoka Shule za Sekondari Kisutu, Kigogo, Turiani, Mzimuni, Migombani, Minazi Mirefu, Tambaza, Makumbusho, Kambangwa na Kinyerezi, za jijini Dar es Salaam, ambapo wameshindana masuala mbalimbali yanayohusu elimu ya fedha, mikopo inayotolewa na Hazina Saccoss pamoja na fursa zilizopo katika vyama vya ushirika, tukio lililofanyika katika Shule ya Sekondari Kisutu, jijini Dar es SalaamMtendaji Mkuu wa Hazina SACCOSS, Bw. Festo Mwaipaja, akizungumza jambo wakati wa mashindano ya Hazina Club yaliyowakutanisha wanafunzi kutoka Shule za Sekondari za Kisutu, Kigogo, Turiani, Mzimuni, Migombani, Minazi Mirefu, Tambaza, Makumbusho, Kambangwa na Kinyerezi, za jijini Dar es Salaam, ambapo wameshindana kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu Elimu ya Fedha, Mikopo inayotolewa na Hazina Saccoss pamoja na fursa zilizopo katika vyama vya ushirika, tukio lililofanyika katika Shule ya Sekondari Kisutu, jijini Dar es Salaam
Mrajisi Msaidizi Vyama vya Ushirika Mkoa wa Dar es Salaam, Bw. Josephat Simkoko, akizungumza jambo wakati wa mashindano ya Hazina Club yaliyowakutanisha wanafunzi kutoka Shule za Sekondari za Kisutu, Kigogo, Turiani, Mzimuni, Migombani, Minazi Mirefu, Tambaza, Makumbusho, Kambangwa na Kinyerezi, za jijini Dar es Salaam, ambapo wameshindana kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu elimu ya fedha, mikopo inayotolewa na Hazina Saccoss pamoja na fursa zilizopo katika vyama vya ushirika, tukio lililofanyika katika Shule ya Sekondari Kisutu, jijini Dar es Salaam
(Picha na kitengo cha Mawasiliano Serikalini,WF, Dar es Salaam)
0 Comments