WAKANDARASI wa Shirika la Umeme Tanzania, (TANESCO) na wale wa kigeni, wakiendelea kuchapa kazi ili kukamilisha hatua ya kwanza ya ujenzi wa mitambo Kinyerezi II jijini Dar es Salaam, ambapo kwa mujibu wa Kaimu Meneja Uhusiano wa TANESCO, Bi. Leila Muhaji, kasi ya ujenzi inaridhisha na kwamba katika hatua hiyo ya kwanza TANESCO inatarajia kuingiza kiasi cha umeme Megawati 30 kwenye Gridi ya Taifa ifikapo Desemba 7, 2017 na hivyo kuongeza kiasi cha umeme katika safari ya kupata umeme wa uhakika na wakutosha kwenye ujezni wa uchumi wa Viwanda.
TANAPA YAZIDI KUJIIMARISHA KIUTENDAJI, YAWAAPISHA MAKAMISHNA WAPYA WA
UHIFADHI
-
Na. Edmund Salaho - Dodoma
Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limeendelea kuimarisha safu
yake ya Uongozi ili kuboresha utendaji kazi wa Shiri...
2 hours ago


0 Comments