Mbunge wa Jimbo la Mtera
(CCM) Livingstone Lusinde
akiunguruma katika mkutano wa hadhara wa kumuombe kura mgombea Udiwani
Kata ya Majengo wilayani Korogwe Mkoani Tanga
Mustapha Shengwatu wakati
wa uzinduzi wa
kampeni hizo zilizofanyika kwenye uwanja wa sabasaba wilayani Korogwe
ambapo aliwataka wananchi kumchagua mgombea wa CCM
Katibu wa Chama cha Mapinduzi
(CCM)Mkoa wa Tanga Allan Kingazi akizungumza katika uzinduzi huo wa
kampeni kumuombea kura mgombea wa CCM Mustapha Shengwatu kupitia kata ya Majengo
Halmashauri ya Korogwe Mji
| Mwenyekiti wa CCM Korogwe Vijijini,Nassoro Hemedi Malingumu akizungumza katika mkutano huo wa hadhara |
| Katibu wa CCM Korogwe Mjini Ally Issa Ally akizungumza katika mkutano huo wa hadhara |
Katibu wa Chama cha Mapinduzi
(CCM)Mkoa wa Tanga Allan Kingazi katikati akifuatilia hotuba ya Mbunge
wa Jimbo la Mtera mkoani Dodoma Livingstone Lusinde maarufu kama
Kibajaji wakati wa uzinduzi wa kampeni hizo kulia ni Mbunge wa Jimbo la
Korogwe Mjini (CCM) Marry Chatanda na kushoto ni Mgombea Udiwani wa CCM
Mustapha Shengwatu
Mbunge wa Jimbo la Korogwe
Vijijini (CCM) Stephen Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu kushoto
akifuatilia kwa umakini hotuba ya Mbunge wa Jimbo la Mtera (CCM)
Livingstone Lusinde alimaarufu Kibajaji wakati wa uzinduzi wa kampeni za
Udiwani Kata ya Majengo Halmashauri ya Korogwe Mjini huku akiwa na
viongozi mbalimbali wa CCM
Sehemu ya umati wa
wananchi wakifuatilia kampeni hizo
0 Comments