Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' ambaye ni mratibu wa mpambano wa mabondia Mada Maugo kushoto na Abdallah Pazi akiwainuwa mikono juu kwa ajili ya kutambulisha mpambano wao wa ubingwa wa U.B.O Afrika utakaopigwa siku ya sikukuu ya pasaka katika uwanja wa ndani wa Taifa march 27 Picha na SUPER D BOXING NEWS |

MABONDIA Mada Maugo na Abdallah Pazi
'Mfalme wa waalamu' wamendelea kutambiana kwa ajili ya mpambano wao
utakaofanyika siku ya March 27 sikukuu ya Pasaka katika uwanja wa ndani
wa Taifa
akizungumza wakati wa kutambulisha mpambano wao uho
Bondia Mada Maugo amesema kuwa Pazi i
mtoto mdogo sana katika ulimwengu wa masumbwi nchini hivyo inambidi
afanye mazoezi ya kutosha ili avuke japo raundi ya nne mana sitakuwa na
msalia mtume wakati wa kupambana
pia naomba mashabiki zangu wafike
mapema kwa ajili yakuona ninavyomsambalatisha Pazi mapema mana nimewapa
bonanzi ya raundi nne mashabiki zangu
akijibu mapigo hayo bondia Pazi
amesema yeye kwa sasa ndio anatamba nchini hivyo yeye ni mfalme na akuna
wa kuusambalatisha ufalme wake kwani kilicho mkuta bondia aliempiga
China kwa K.o ya raundi ya tatu ndicho kitakacho mkuta yeye kwani kesha
zeeka sasa ni wakati wa damu changa pekee
nae mratibu wa mpambano uho Rajabu
Mhamila 'Super D' amesema mbali y mpambano uho unaosubiliwa kwa hamu na
mashabiki lukuku kutakuwa na mipambano ya kukata na shoka
ambapo bondia Nassibu Ramadhani
atakumbana na Fansic Miyeyusho na bingwa wa mikanda miwili ya Afrika
U.B.O na WPBF, Ibrahimu Class 'King Class Mawe' atkumbana na Deo Samweli
na Pius Kazaula atakumbana na Seba Temba mpambano mwingine utawakutanisha Cosmas Cheka na Mohamed Matumla
Katika mpambano
uho kutakuwa na uhuzwaji wa vifaa vya mchezo wa ngumi pamoja na DVD za
mafunzo ya mchezo wa ngumi kwa ajili ya kutambua sheria mbalimbali za
mchezo zitakazokuwa zikitolewa bule kwa mabondia watakaofanya vizuri
siku hiyo na vingine kuuzwa kwa galama nafuu
0 Comments