Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewasimamisha kazi Kamishna Mkuu wa Uhamiaji Bwana Sylvester Ambokile na Kamishna wa Uhamiaji anayeshughulikia Utawala na fedha Bwana Piniel Mgonja ili kupisha uchunguzi, kufuatia dosari alizozibaini Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mheshimiwa Charles Kitwanga alipotembelea Idara ya Uhamiaji hivi karibuni.
UWAVITA WATAKA DIRA YA 2050 KUENDELEZA TASNIA YA VITABU
-
Mwenyekiti wa Umoja wa Waandishi wa Vitabu Tanzania (UWAVITA), Anna Mbise,
amesema umoja huo umeshiriki kutoa maoni kuhusu Rasimu ya Dira ya Taifa ya
Ma...
1 hour ago
0 Comments