Bondia Ramadhani Maonya kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Vicent Mbilinyi wakati wa mazoezi ya kujiandaa na mapambano yao ambapo Mbilinyi anajiandaa kucheza na Deo Njiku desemba 25 na Maonya anajiandaa kucheza na Said Faraji January 2 Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Ramadhani Maonya kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Vicent Mbilinyi wakati wa mazoezi ya kujiandaa na mapambano yao ambapo Mbilinyi anajiandaa kucheza na Deo Njiku desemba 25 na Maonya anajiandaa kucheza na Said Faraji January 2SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ibrahimu Maokola wakati wa mazoezi ya Mbilinyi kujiandaa na mpambano wake na Deo Njiku utakaofanyika desemba 25 katika uwanja wa jamuhuri Morogoro Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Mohamed Muhunzi akipambana na Vicent Mbilinyi |
Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Omar Bai wakati wa mazoezi ya Mbilinyi kujiandaa na mpambano wake na Deo Njiku utakaofanyika desemba 25 katika uwanja wa jamuhuri Morogoro Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D ' kushoto akimfundisha bondia Vicent Mbilinyi jinsi ya kupiga ngumi ya mkunjo wa chini 'upcut' wakati wa mazoezi ya kujiandaa na mpambano wake na Deo Njiku utakaofanyika Desemba 25 katika uwanja wa jamuhuri Morogoro Picha na SUPER D BOXING NEWS |
KOCHA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI RAJABU MHAMILA 'SUPER D' AKIWA NA BONDIA VICENT MBILINYI |
Vicent Mbilinyi akifanya mazoezi na Rajabu Mhamila 'Super D' |
0 Comments