Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akinyooshewa vidole gumba na wakazi wa Jimbo la Ukonga ikiwa ni ishara ya kukubali kumpigia kura ya ndiyo, wakati wa mkutano wa kampeni eneo la Moshi Bar, Ukonga - Dar es Salaam.
ZHC Yasisitiza Ujenzi wa Nyumba za Kisasa za Bei Nafuu kwa Wazanzibari
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba Zanzibar (ZHC), Ndg. Sultan Said
Suleiman, amezitaka kampuni zinazojihusisha na ujenzi wa nyumba za kisasa
kuzingat...
4 hours ago

0 Comments