Bwana na Bibi harusi wakiingia kanisani kwa ajili ya kufungishwa ndoa katika kanisa la KKKT Sinza jana Jumapili.(Picha na Geofrey Adroph)
Mchingaji akitoa neno kwa wanandoa hao waliofunga pingu za maisha katika kanisa la KKKT Sinza jijini Dar jana Jumapili.
Bibi harusi akimvalisha pete mme wake Sillah Mbuya uku mchunhaji akishuhudia tukio hili la kihistoria
Mchungaji akitoa baraka kwa wanandoa hao
Bwana na Bibi harusi wakikumbatiana kwa furaha hakika yaliyoandikwa yametimia
Bwana Harusi Sillah Mbuya akisaini cheti cha ndoa
Bibi harusi Ancilla akisaini cheti cha ndoa
Mchungaji akisaini cheti cha wanandoa Sillah na Ancilla
Sillah akicheza kwa furaha mara maada ya kutoka kanisani
Bibi Harusi na bwana Harusi pamoja na wapambe wao wakiwa wamenyoosha grass zao juu kwa
Hakika ilikuwa ni furaha
Wageni waalikwa wakiendelea kugongesha grass zao kwa bibi na bwana harusi
Bwana na Bibi Ernest Njeje
Bwana na Bibi harusi wakiendelea kuserebuka wakati wa harusi yao iliyofanyika katika ukumbi wa Kiramuu Mbezi Beach jana jumapili.
Bwana na Bibi wakionesha pete zao za ndoa
Bwana na Bibi haruzi wakikata nyama ya Mbuzi iliyoandaliwa kwa ajili yao
Bwana Harusi akimlisha kipande cha nyama mke wake Ancilla
Bibi harusi akimlisha kipande cha Nyama Mme wake Sillah Mbuya
Bibi Harusi Ancilla Mrema akimlisha kipande cha nyama mama mzazi wa bwana harusi hii ni kuonesha upendo kwa familia zote
Bwana Harusi SIllah Mbuya akimlisha kipande cha nyama mama mzazi wa Bibi harusi
Bibi na Bwana Harusi wakionesha tabasamu la nguvu
Wageni wakifuatilia kinachoendelea ukumbini hapo
Bwana Harusi Sillah Mbuya akisakata rhumba na ndugu pamoja na jamaa waliofika katika harusi yake iliyofanyika katika Ukumbi wa Kiramuu.
Mama na Baba wa Sillah Mbuya wakikabidhi zawadi ya biblia kwa watoto wao waliofunga ndoa.
Mama mzazi wa Bibi Harusi akitoa zawadi ya Biblia kwa Bwana na Bibi harusi
Baadhi ya wanakati wakitoa pongezi kwa bibi harusi na Bwana haru mara baada ya kutoa zawadi zao
Katibu wa kamati ya Maandalizai ya Harusi akitoa neno la shukranni kwa wageni waalikwa waliofika katika harusi ya Sillah na Ancilla iliyofanyika katika ukumbi wa Kiramuu Mbezi Beach.
Kwa picha zaidi bofya hapa
Kwa picha zaidi bofya hapa
0 Comments