Mgeni rasmi ,Mkuu wa wilaya wa Tabora mjini, bw.Suleiman Kumchaya(katikati na track suit ya samawati), akiwaongoza wanariadha katika mbio za Tigo Igombe marathon |
Washindi wa kike wa mbio za Tigo Igombe marathon, wakiwa katika picha ya moja baada ya kushiriki mbio za Tigo Igombe marathon |
Washindi wa Igombe marathon kuanzia wa kwanza hadi wa tatu(wanaume na wanawake) wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi na wadhamini wa mbio hizo(Tigo). |
Washiriki wa Tigo igombe marathon wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi na wadhamini wa mbio hizo CHANZO; MWANAHARAKATI MZALENDO |
0 Comments