
Mbunge wa jimbo la Moshi mjini Philemoni Ndesamburo akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika jirani na Super Market ya Nakumat.
(Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Moshi)
![]() |
| Baadhi ya wananchi waliofika katika mkutano huo wakimsikiliza Ndesamburo. |
![]() |
| Ndesamburo akizungumza. |
![]() |
| Baadhi ya viongozi wa Chadema akiwemo mstahiki Meya wa manispaa ya Moshi ,Jafary Michael wakimsilikiza Ndesamburo. |
![]() |
| Msatahiki Meya wa Manispaa ya Moshi,Jafary Michael akizungumza katika mkutano wa hadhara . |
![]() |
| Mbunge waMoshi mjini Philemoni Ndesamburo
akimsikiliza Mstahiki Meya wa manispaa ya Moshi.(hayuko pichani) akiwa
na viongozi wengine wa Chadema. |





0 Comments