Meneja uhusiano wa kampuni ya unilever
Tanzania Nicholaus John ametoa
wito kwa wananchi na wateja wote wa mkoa wa Mbeya kuichangamkia fursa hiyo ya kipekee na kuongeza kuwa zoezi
hilo na promosheni hiyo ni la ukweli hivyo hawanabudi kuipokea kwa moyo wote
kwani bado zawadi nyingi zitaendelea kutolewa kwa washindi huku kampuni hiyo
ikijipanga zaidi kwa siku za baadaye kuja na promosheni nyingine tofauti
tofauti zenye lengo la kurejesha shukurani kwa wateja.
|
Balozi wa Omo Tanzania, Mariamu akiongea na waandishi wa habari ambao hawapo pichani |
0 Comments