Joel Msechu mtaalamu wa zao la shayiri
kutoka Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) akiwaonesha wakulima magonjwa wa
shayiri na namna ya kuzuia magonjwa hayo katika katika mashamba yaliyopo
Kijiji cha Emairete Monduli juu, mkoani Arusha. Wakulima hao huwezeshwa
na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) katika uzalishaji wa zao hilo ambalo
ni malighafi ya kutengenezea bia zinzozalishwa na kampuni hiyo.
Meneja wa Zao la Shayiri Dk. Bennie
Basson akiwaonesha wakulima kijitabu cha muongozo wa kilimo cha shayiri
katika Kijiji cha Emairete Monduli juu, mkoani Arusha juzi. Wakulima hao
huwezeshwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) katika uzalishaji wa zao
hilo ambalo ni malighafi ya kutengenezea bia zinzozalishwa na kampuni
hiyo.
Meneja wa Shayiri wa Kampuni ya Bia
Tanzania (TBL) D.. Bennie Basson akizungumza na wakulima wa shayiri ktk
kijiji cha Emairete Monduli juu, mkoani Arusha. Wakulima hao huwezeshwa
na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) katika uzalishaji wa zao hilo ambalo ni
malighafi ya kutengenezea bia zinazozalishwa na kampuni hiyo.
Meneja wa Zao la Shayiri Dk. Bennie
Basson akiwaonesha wakulima wa shayiri chati ya matumizi ya mbolea na
viuatilifu vinavyoweza kuongeza mavuno ya shayiri katika Kijiji cha
Emairete Monduli juu, mkoani Arusha. Wakulima hao huwezeshwa na Kampuni
ya Bia Tanzania (TBL) katika uzalishaji wa zao hilo ambalo ni malighafi
ya kutengenezea bia zinazozalishwa na kampuni hiyo.
Meneja wa Zao la Shayiri Dk. Bennie
Basson, akiwaonesha magugu ambayo ni hatari kwa zao la shayiri
alipowatembelea wakulima wa zao hilo Kijiji cha Emairete Monduli juu,
mkoani Arusha juzi. Wakulima hao huwezeshwa na Kampuni ya Bia Tanzania
(TBL) katika uzalishaji wa zao hilo ambalo ni malighafi ya kutengenezea
bia zinazozalishwa na kampuni hiyo.
Mtafiti wa zao la shayiri Geremia Mremi
kutoka Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) akitoa elimu juu ya mbegu bora
zilizothibitishwa kutoka TBL alipowatembelea wakulima wa zao hilo katika
Kijiji cha Emairete Monduli juu, mkoani Arusha juzi. Wakulima hao
huwezeshwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) katika uzalishaji wa zao
hilo ambalo ni malighafi ya kutengenezea bia zinazozalishwa na kampuni
hiyo.
0 Comments