Mwanamuziki
na kiongozi wa bendi ya Mapacha watatu Khalid chokoraa anategemea
kupanda ulingoni jumamosi ya tarehe 24 katika ukumbi wa friends cornerkuzipiga na bondia chipukizi mwenye uchu wa ushindimuda wote awpo ulingoni Abdul manyenza. Chokoraa alisema muda mrefu amekuwa akifanya mazoezi yakujenga
mwili na ya ngumi kwa muda mrefu na amekuwa akipigana na mabondia
tofautitofauti mazoezini na kuona uwezo wao ni wa kawaida, hivyo anataka
kuwaonesha kama ana kipajikingine zaidi ya kuimbia, kwa sasa amekuwa akijifua katika gym ya bigright boxing ya mwananyamala chini ya mwalimu wake bondiamkongwe
omar athuman ‘van dame’ kwa lengo la kumsambaratisha mpinzani wake
ambae amekuwa akijitapa kumfukuza chokoraaa kwa kipondo kikali arudi
kuimba. Siku hiyo ya jumamosi kutakuwa na mapambano ya ubingwa kati ya
Karama nyilawila na Said Mbelwawakigombea
ubingwa wa UBO-AFRICA ,wakisindikizwa na kina chokoraa na Abdul
manyenza, Suleiman Galile akimkabili Abdala Pazi ‘kiroba’ naebingwa
wa afrika Alan kamote wataoneshana umwamba na Adam ngange, Ramadhan
kumbele atazipiga na Hassan kiwale”morobest” , idd athuman na julias
kisarawe, nao wababe wa majigambo Zumba kukwe wataoneshana kazi na
Kamanda wa makamanda, pia kutakuwa na pambano mengine mengi tu ya
utangulizi ya mabondia wa tanga watazipiga na mabondia wa dare es
salaam. Kama vile Athuman boxa wa tanga atazipiga na waite juma wa
chalinze, Rajabu mahoja wa tanga atazipiga na kaisi wa darn a mengineyo
yenye kuleta hamasa na burudani za mchezo wa ngumi, kwa vijana kuonesha
vipaji vyao
Africa, Redefined: Mobila Safaris at Indaba 2026
-
The wait is over. Africa’s most iconic landscapes are calling, and we’re
here to hand you the keys.
*Mobila Safaris is officially live at Stand DEC...
SGR :HATUNA MPANGO WA KUONGEZA NAULI
-
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema halina mpango wa kuongeza nauli za
usafiri wa Reli ya Kisasa (SGR) kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta, kwa
ku...
MAZIKO YA MPENDWA WETU HASSAN NG'ANZO
-
*Ndugu, jamaa na marafiki wakijumuika pamoja katika siku ya msiba wa
mpendwa wetu Hassan Ng'anzo nyumbani kwa marehemu Sinza Mori mapema siku ya
Ijumaa M...
WASIRA AWATOLEA UVIVU WALIOANZA MBIO ZA URAIS
-
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen
Wasira, Leo Machi 27, 2026, Mjini Bunda Mkoa wa Mara alipokuwa akiweka
jiwe la ms...
Waziri Ndalichako azindua chuo kipya cha VETA Kagera
-
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amezindua
chuo kipya cha VETA Ndolage kilichopo Kamachumu Wilaya ya Muleba mkoani
Kagera k...
0 Comments