| Bondia Japhert Kaseba kushoto na Thomas Mashali wakitunishiana misuli baada ya kutambiana mbele ya mashabiki kuhusu kuwepo kwa mpambano wao unaotafutiwa Promota kwa ajili ya kuandaa gem hiyo picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
KIHONGOSI AFANYA KIKAO KAZI NA VIONGOZI,WASANII BENDI YA TOT
-
Na Mwandishi Wetu
KATIBU wa Halmashauri Kuu(NEC)ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi
na Mafunzo Kenan Kihongosi amefanya kikao kazi na viongozi m...
10 hours ago
0 Comments