Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akikagua kazi ya uwekaji viti vipya katika ukumbi
wa Bunge mjini Dodoma Januari 18,2014 ikiwa ni maandalizi ya Bunge la
Katiba linalotarajiwa kuanza mwezi ujao.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwa ameketi kitini wakati akikagua marekebisho
yanayofanyika katika ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Januari 18, 2013 ikiwa
ni maandalizi ya Bunge la Katiba linalotarajiwa kuanza mwezi ujao.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
0 Comments