Meneja
Mauzo na Usambazaji wa Samsung Tanzania Bw Sylvester Manyara (kushoto)
akimkabidhi funguo ya gari mshindi wa jumla wa promosheni ya Pambika na
Samsung Bw. Juma Musa Ramadhani mkazi wa Tabata Segerea jijini Dar es
Salaam mara wakati wa hafla ya kukabidhi rasmi zawadi hiyo ya Mitsubishi
Double Cabin, tukio linaloshuhudiwa kwa ukaribu na Msimamizi muandamizi
toka bodi ya michezo ya kubahatisha Tanzania Bw. Bakari Maggid wa
kwanza kulia.
VIJANA WAKUMBUSHWA KULINDA TASWIRA YA NCHI KIMATAIFA
-
Serikali imewataka vijana wanaopata fursa za ajira nje ya nchi kuwa
mabalozi wa Taifa kwa kuzingatia nidhamu, uadilifu na tamaduni katika nchi
wanazokwenda...
24 minutes ago
0 Comments