Mkurugenzi wa Sahel Traing Co.Ltd, Ally hazam kushoto
akimkabidhi mzani wa kupimia uzito mabondia kwa Yassin Abdalla 'Ostadhi'
mzani huo wenye thamani ya shilingi milioni moja na laki nane umetolewa
na kampuni hiyo kutekeleza ahadi yao ya kusaidia mchezo wa masumbwi
nchini picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
NA MWANDISHI WETU
KAMPUNI ya Sahel Traing Co.Ltd kupitia kwa mkurugenzi wake Ally
Hazam wametoa mzani wa kupimia mabondia kwa kiwango cha ali ya juu kwa
ajili ya kuondoa ubabaishaji wa upimaji uzito kwa mabondia
akizungumza wakati wa kukabidhi mzani
huo wenye thamani ya shilingi milioni moja na laki nane Hazam amesema
wameamua kutoa mzani wakitegemea ngumi ndio mchezo pekee ambao unaweza
kuretea sifa taifa kwa haraka sana
mchezo ambao unapendwa na watu wengi
duniani sema hapa kwetu bado atuja usapoti sana na sisi tume onesha
mfano ila tuta enderea kusapoti mchezo wa masumbwi nchini kari tuwezavyo
nae Yassini Abdalla 'Ostadhi' aliye
pokea mzani huo ambao utakuwa ukitumika kwa mabondia kupima uzito
ususani mapambano ya kimataifa ame shukulu kampuni hiyo kwa kutoa mzani
na ni ahai ambayo walikuwa nayo mda mrefu rakini leo 'jana' ndio
wameitekeleza
siku zote dunia nzima cha kwanza kabla
mabondia awajapanda ulingoni kwanza wanapima uzito afya ndio mpambano
una endelea bila uzani akuna ngumi mana mnaweza kupiganisha mabondia
wenye uzani tofauti kitu ambacho akikubaliki dunia nzima.
hivyo sina budi kuishukuru kampuni ya Sahel Trading Co. Ltd kwa kunipatia uzani huu
Mkurugenzi wa Sahel Traing Co.Ltd, Ally hazam kushoto
akimkabidhi mzani wa kupimia uzito mabondia kwa Yassin Abdalla 'Ostadhi'
mzani huo wenye thamani ya shilingi milioni moja na laki nane umetolewa
na kampuni hiyo kutekeleza ahadi yao ya kusaidia mchezo wa masumbwi
nchini picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com NA MWANDISHI WETU KAMPUNI ya Sahel Traing Co.Ltd kupitia kwa mkurugenzi wake Ally Hazam wametoa mzani wa kupimia mabondia kwa kiwango cha ali ya juu kwa ajili ya kuondoa ubabaishaji wa upimaji uzito kwa mabondia akizungumza wakati wa kukabidhi mzani huo wenye thamani ya shilingi milioni moja na laki nane Hazam amesema wameamua kutoa mzani wakitegemea ngumi ndio mchezo pekee ambao unaweza kuretea sifa taifa kwa haraka sana mchezo ambao unapendwa na watu wengi duniani sema hapa kwetu bado atuja usapoti sana na sisi tume onesha mfano ila tuta enderea kusapoti mchezo wa masumbwi nchini kari tuwezavyo nae Yassini Abdalla 'Ostadhi' aliye pokea mzani huo ambao utakuwa ukitumika kwa mabondia kupima uzito ususani mapambano ya kimataifa ame shukulu kampuni hiyo kwa kutoa mzani na ni ahai ambayo walikuwa nayo mda mrefu rakini leo 'jana' ndio wameitekeleza siku zote dunia nzima cha kwanza kabla mabondia awajapanda ulingoni kwanza wanapima uzito afya ndio mpambano una endelea bila uzani akuna ngumi mana mnaweza kupiganisha mabondia wenye uzani tofauti kitu ambacho akikubaliki dunia nzima. hivyo sina budi kuishukuru kampuni ya Sahel Trading Co. Ltd kwa kunipatia uzani huu |
0 Comments