Meneja wa Masoko wa Kampuni ya Konyagi Joseph Chibehe,(Kulia)
akimkabidhi Kapteni wa timu ya Mwambao Selemani Lugono baada ya timu
hiyokuibuka washindi wapili katika ligi ya kawambwa cup iliyomalizika
Mjini Bagamoyo mwishoni mwa wiki Wanaoshuhudiakutokakulia ni Mbunge wa
jimbo hilo Dr Shukuru Kawambwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa BMT Idi
KIpingu
TAZAMA HAPA WAGOMBEA WA NAFASI MBALIMBALI ZA KITAIGA ZA CHADEMA, MBOWE ATOA
NENO BARAZA KUU
-
* Baraza kuu la Chama katika kikao chake kilichofanyoka katika ukumbi wa
Mlimani city leo tarehe 20 Januari,2025 limefanya uteuzi wa wagombea wa
nafasi ...
5 hours ago
0 Comments