Sheikh Issa Ponda akishuka kwenye
basi la Magereza tayari Kuingia Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoani
Morogoro leo ambapo Mahakama Ilikuwa inatoa Maamuzi kuhusu Kufutiwa
shitaka moja kati ya matatu yanayomkabili Sheikh Ponda katika Mahamama
hiyo.Mahakama Imetupilia Mbali Ombi hilo na kesi itaendelea Kusikilizwa
katika Mahamama hiyo.Kesi hiyo imeahiriswa Mpaka tarehe 7 November mwaka
huu ambapo mahakama itaanza kusikiliza Mashahidi wa kesi hiyo.Sheikh
Ponda Amerudiswa Rumande.
Sheikh Issa Ponda Akiingia katika viwanja vya mahakama ya Hakimu mkazi mkoa wa morogoro..
Sheikh Ponda akiwa mahakamani akimsubiri Hakimu tayari kusikiliza Kesi yake katika Mahakama ya Hakimu mkazi Mkoa wa morogoro
Mke wa sheikh Ponda akiwa mahakamani
Ulinzi ukiwea umeimarishwa mahakamani hapo leo wakati kesi hiyo ikiendelea katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wsa morogoro
PICHA NA MATUKIO NA MICHAPO BLOG

0 Comments