Warembo watano waliofanikiwa kuingia hatua ya nusu fainali
ya Redd’s Miss Tanzania 2013 wakiwa katika picha ya pamoja jana. Kutoka
kushoto ni Miss Tanzania Photogenic
2013, Happiness Watimanywa, Miss Tanzania Talent 2013, Prisca Clement, Miss
Tanzania Personality, Severina Lwinga, Miss Tanzania Top Model 2013, Narietha
Boniface na Miss Tanzania Sports Woman, Clara Bayo. (Na Mpigapicha Wetu).
SERIKALI YATOA BILIONI 14.4 MRADI WA ENGARUKA
-
WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo,akizungumza kwenye
mkutano wa hadhara uliofanyika leo Januari 10,2025 katika tarafa ya
Mtowambu w...
1 hour ago
0 Comments