PICHA ZINAONESHA MATUKIO MBALIMBALI YA BURUDANI NA WASHIRIKI WALIOJITOKEZA KATIKA MIKOA HIYO.
28th - 31th 2013 mkoani Arusha, Mbeya, Mwanza na tarehe 1 septemba shangwe hizo zilihamia jijini Dar es salaam.
Kufuatia
usahili utakaofanyika hivi karibuni wa nani ataiwakilisha Tanzania
katika mashindano ya kusaka kipaji bora cha kuimba Afrika Mashariki
ambao unategemewa kufanyika tarehe 7 na 8 mwezi huu, kampuni ya bia ya
Serengeti imewaburudisha watanzania wa mikoni na kuwapa fursa ya
kushiriki usahili huo kwa kuwapa nafasi ya
kuonesha uwezo wao wa kuimba na mshindi kujipatia tiketi ya kusafiri
mpaka Dar es salaam ili kushiriki katika usahili huo.
Wateja wa kampuni hiyo mkoani Arusha walijipatia tisheti, bia za bure na washindi wa kipaji cha kuimba walipata tiketi za bure za kushiriki usaili mkoani Dar es salaam. washindi hao ni pamoja na David Jamal,Bartazal Kauki na wengine wengi. pia mkoani mbeya mashindano hayo yalifanyika katika baa za Rombo Bar, Mama Land Bar na Airport Bar ambapo kila bar ilitoa mshindi na kujipatia tiketi ya kushiriki usaili.

0 Comments