Wasanii wa Maigizo, Filamu, Muziki, Uchoraji na Ngoma za Asili Dar 'Wanolewa'





Baadhi ya wasanii wakiwa kwenye kazi za vikundi kwa majadiliano zaidi juu ya semina semina ya wasanii wa sanaa za maigizo, filamu, muziki, uchoraji na ngoma za asili jijini Dar es Salaam wakiwa kwenye semina iliyoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) kwa wasanii juu ya umuhimu wa wao kushiriki katika mchakato wa uundaji Katiba Mpya na kutumia kazi zao katika kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia.

Mmoja wa wasanii hao akiwasilisha mada ya kundi lao katika semina  iliyoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) kwa wasanii juu ya  umuhimu wa wao kushiriki katika mchakato wa uundaji Katiba Mpya na  kutumia kazi zao katika kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia
Picha mbalimbali juu ni baadhi ya wasanii wanaoshiriki Semina ya wasanii wa sanaa za maigizo, filamu, muziki, uchoraji na ngoma za asili jijini Dar es Salaam wakiwa kwenye kazi za makundi za majadiliano. Semina hiyo imeandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) kwa wasanii juu ya umuhimu wa wao kushiriki katika mchakato wa uundaji Katiba Mpya na kutumia kazi zao katika kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia.
Baadhi ya wasanii wa sanaa za maigizo, filamu, muziki, uchoraji na ngoma za asili jijini Dar es Salaam wakiwa kwenye semina

Post a Comment

0 Comments