Mhe. Dkt. Fenera Mukangara ambaye ni Waziri wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo akiongea na maafisa maendeleo ya vijana nchini wakati wa uzinduzi wa semina ya siku mbili.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari ,Vijana,Utamaduni na Michezo Bw. Seth Kamuhanda akifafanua jambo wakati wa semina hiyo.
Meneja wa NMB Mikopo Midogo Midogo Bw. Mashaga Changarawe akielezea huduma mbali mbali zitolewazo na Benki ya NMB zikiwemo akaunti pamoja na mikopo mbalimbali kwa wajasiliamaliMeneja Mawasiliano wa
NMB, Josephine Kulwa akizungumzia jinsi ambavyo Benki ya NMB kwa
kupitia huduma zake kwa wajasiliamali inavyosaidia kuongeza ajira kwa
vijana nchini
Sehemu ya washiriki wa semina hiyo.
0 Comments