KALA JEREMIAH NA OMMY DIMPOZ WATISHA TUZO ZA KILIMANJARO 2013





1. KIKUNDI BORA CHA TAARABU NI- JAHAZI MODERN TAARAB



2. MTUNZI BORA WA MASHAIRI YA TAARABU- THABIT ABDUL


3. WIMBO BORA WA MWAKA TAARABU- KHADIJA KOPA
* KALA JEREMIAH, OMMY DIMPOZ WATISHA KWA KUZOA TUZO TATU 

* CHALZ BABA, , OMMY DIMPOZ WAZOA TUZO MBILI MBILI

* NEY WA MITEGO ABEBA TUZO NDANI YA SIKU YAKE YA KUZALIWA

*OMMY DIMPOZ AMSHUKURU ZITTO KABWE KWA KUFANIKISHA UTENGENEZAJI WA VIDEO YAKE YA BAADAE

* ZEMBELA ATISHA KWA USHEHERESHAJI

* SALEHE ABDALLAH YAZIPU NA KILIMANJARO BAND WABEBA TUZO ZA HESHIMA

* LADY JAY DEE ABEBA TUZO YA MSANII BORA WA KIKE

* DIAMOND ANYAKUA TUZO YA MSANII BORA WA KIUME
4. MTAYARISHAJI BORA WA TAARABU- ENRICO

5. MSANII BORA WA KIKE TAARABU- ISHA MASHAUZI

6. MSANII BORA WA KIUME TAARABU- MZEE YUSUPH

7.Wimbo bora wa bongo POP mshindi ni OMMY DIMPOZ
8. MSANII BORA ANAYECHIPUKIA NI - ALLY NIPISHE
9. KIKUNDI BORA CHA MWAKA - JAMBO SQUARD
10. MTAYARISHAJI BORA WA MUZIKI CHIPUKIZI WA MWAKA - MEN'S SELECTOR

11. WIMBO BORA WA BENDI - RISASI KIDOLE YAO MASHUJAA BENDI

12. MTUNZI BORA WA MASHAIRI BENDI - CHALZ BABA

13. MTAYARISHAJI BORA WA BENDI WA MWAKA - AMOROSSO

14. MSANII BORA WA KIKE BENDI - LUIZA MBUTU

15. MSANII BORA WA KIUME BENDI - CHALZ BABA

16. RAPA BORA WA BENDI - FERGUSON

17. BENDI BORA YA MWAKA - MASHUJAA BAND

18. WIMBO BORA WA ZOUK - NI WEWE WAKE AMIN

19. WIMBO BORA WA REGGAE - KILIMANJARO WAO WARRIORS

20. WIMBO BORA WA RAGGA - DOUBLE WAO PREDATOR

21. MSANII BORA WA HIP HOP - KALA JEREMIAH

22. MTUNZI BORA WA MASHAIRI HIP HOP - KALA JEREMIAH

23. WIMBO BORA WA HIP HOP - NASEMA NAO WA NEY WA MITEGO

24. WIMBO BORA WA RnB - SINA MAPENZI WA RAMA DEE

25. WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI - VALU VALU WAKE JOSE CHAMELEONE

26. WIMBO BORA WA KUSHIRIKIANA - ME n YOU WAKE OMMY DIMPOZ FT VANNESA

27. WIMBO BORA WA MWAKA - DEAR GOD YAKE KALLA JEREMIAH

28. VIDEO BORA YA WIMBO WA MWAKA - BAADAE YAKE OMMY DIMPOZ

29. TUZO YA HALLFAME 2013 NI KILIMANJARO BAND "Wana Njenje";

30. TUZO YA HALLFAME 2013 YA BINAFSI NI SALUM ABDALLAH YAZIPU aliyeimba SHEMEJI SHEMEJI HUKU WAZIMA TAA

31. MSANII BORA WA KIKE - LADY JAY DEE

32. MSANII BORA WA KIUME - DIAMOND

Post a Comment

0 Comments