Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akizingumza na Marais Wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Mzee Benjamin Mkapa na
Waziri Mkuu Mstaafu na Katibu Mkuu wa Umoja wa Afrika Mstaafu Dkt Salim Ahmed
Salim kuhusiana na sherehe za miaka 50 ya AU alipokutana nao jijini Addis
Ababa, Ethiopia, leo Mei 26, 2013. Viongozi hao wastaafu ni miongoni mwa
wageni mashuhuri walioaliokwa kwenye sherehe hizo.(Picha na Ikulu)
TANZANIA KUIMARISHA USHIRIKIANO NA JAPAN, IFAD.
-
Na. Saidina Msangi na Joseph Mahumi, WF, Dodoma
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amekutana na kufanya
mazungumzo kwa nyakati tofauti ...
9 minutes ago

0 Comments