MREMBO aliyewahi kushiriki katika shindano la Miss Tanzania Feza
Kessy atakuwa miongoni mwa washiriki 28 wa shindano la Big Brother Africa The Chase lililozinduliwa jana usiku Mei 26 jijini Johanesburg nchini Africa Kusini ambapo mshindi ataondoka na kitika cha Dola za kimarekani 300,000. Shindano hilo limedhaminiwa na Kampuni ya simu ya Airtel wshiriki wengine atatoka katika nchi za Uganda, Ethiopia, Kenya, Malawi,Namibia, Ghana, Afrika Kusini, Zambia , Malawi, Zimbabwe na Nigeria.
RC MTWARA: CCM INA JUKUMU LA KUHAMASISHA WAKULIMA KUONGEZA TIJA KUPITIA
MFUMO WA STAKABADHI ZA GHALA
-
*Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mhe. Kanal Donald Msengi, amewashauri Viongozi wa
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwahimiza wakulima kutumia Mfumo wa Stakabadhi
z...
8 minutes ago

0 Comments