Mwenyekiti wa Mkutano wa dharura wa klabu ya Simba, Mohamed
Wande akifafanua jambo wakati wa mkutano uliofanyika katika ukumbi wa
Starlight
jijini Dar es Salaam jana na kumg’oa madarakani aliyekuwa Mwenyekiti wa
klabu
hiyo, Ismail Aden Rage. Kushoto ni Mjumbe wa Kamati ya Maandalizi ya
Mkutanohuo, Bi. Chuma Suleiman ‘Hindu’ na Katibu wa Mkutano huo, Mohamrd
said. (Picha
na Habari Mseto Blog)
Mzee wa Simba, Ally Mselemu akizungumza wakati wa mkutano huo.
0 Comments