Mkurugenzi wa Masoko wa TBL, Kushilla Thomas akibadilishana hati na Kaimu Katibu Mtendaji wa BASATA, Godfrey Mungereza baada ya kusainiwa kwa mkataba wa Bia ya
Kilimanjaro Premium Lager kudhamini tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music
Awards kwa miaka mingine mitano mpaka 2018 sambamba na uzinduzi wa tuzo
hizo kwa mwaka 2013 huku viongozi wengine wa TBL na BASATA wakipiga
makofi. Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es salaam leo.
Mkurugenzi wa Masoko wa TBL, Kushilla Thomas (wa tatu
kulia), Kaimu Katibu Mtendaji wa BASATA, Godfrey Mungereza (wa tatu kushoto),
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe (wa pili kulia) pamoja na Maofisa
wa TBL na BASATA wakifurahia jambo mara baada ya uzinduzi wa tuzo za
Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013, katika hafla iliyofanyika jijini Dar es
salaam jana. (Picha kwa hisani ya Executive
Solutions)
0 Comments