WAZIRI NDEJEMBI AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA BENACO–KYAKA
-
📌 Utawezesha Mkoa wote Kagera kuunganishwa na Gridi ya Taifa
📌 Zaidi ya Bilioni 270 kutumika kutekeleza mradi
📌 Mradi kukamilika ndani ya miezi 24
...
9 hours ago
amemtwanga kwa pointi 117-111, 116-112, and 116-112.
bondia Tavoris Cloud wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa Dunia katika
mpambano uliofanyika katika jiji la New York City. na kuweka rekodi ya
kuwa bingwa mwenye umri mkubwa kuchukua ubingwa wa Dunia miaka miwili
iliyopita Hopkins alimpiga kwa point bondia machachali Chad Dawson
katika mpambano wao wa marudiano na kuwa bingwa wa Dunia Bondia huyo
mkongwe aliyeweza kudumu katika masumbwi kwa mda mrefu bondia huyo
anaefanya kuwa rekodi yake kwa sasa ni on 53 (KO 32)
+
lost 6 (KO 0)
+
drawn 2
=
63 katika michezo yake 63 amepoteza mipambano 6 tu rekoni ambayo inamfanya kuwa juu mpaka hivi sasa
Copyright © 2015 - 2025 BongoWeekend All Right Reserved
Developed by Gadiola Emanuel
0 Comments