Baadhi ya Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa wanajitahidi
kutabasamu mpaka Mwisho
Zoezi
La kutabasamu Linaendelea Hapa
Ilikuwa ni Kazi sana Ambapo Washiriki wa Miss Utalii 2012/13 walikuwa kila mmoja
akitaka tabasamu zaidi kama anavyo onekana Mshiriki wa kwanza Kushoto pamoja na
anaemfuatia
Mcheki
Mshiriki wa Miss Utalii 2012/13 si kwamba amenuna Lakini anawaza ni Jinsi Gani
atatoa Tabasamu lake
0 Comments