Mashabiki wa Dar Live wakiwa na furaha ya kuuona mwaka mpya na burudani ya taarab.
—
UMATI
mkubwa wa wasaka burudani ulifurika ndani ya Uwanja wa Taifa wa
Burudani wa Dar Live huko Mbagala katika kusherehekea mwaka mpya ambapo
pia kundi la taarabu la T Moto lilizindua albam ya ‘Domo la Udaku’
(PICHA: RICHARD BUKOS NA ISSA MNALLY/ GPL)
0 Comments