Mkurugenzi wa Mauzo wa Kampuni ya Business MachinesTanzania Ltd (BMTL), Ramakrishnan
Kirubakaran akizungumza na wafanyakazi wa kampuni
hiyo wakati wa hafla ya kuuaga mwaka 2012 iliyokwenda sambamba na utoaji wa vyeti na zawadi kwa wafanyakazi wa muda mrefu.
Meneja
Mkuu wa Idara ya Rasilimali Watu wa Kampuni ya BMTL, Mariam Chamba
akiwatambulisha wanakamati waliohusika kuwachugua, kuwatambua
wafanyakazi waliofanya vizuri.
Mkurugenzi,
Deen Nathwani na Meneja Mkuu Rasilimali Watu, Mariam Chamba wakipeana
mkono wakati wa uzinduzi wa sera ya tuzo kwa wafanyakazi
Mkurugenzi wa Mauzo wa Kampuni ya Business Machines Tanzania Ltd
(BMTL), Ramakrishnan
Kirubakaran akimkabidhi zawadi mfanyakazi, Rabson Mtui.
Mkurugenzi wa Mauzo wa Kampuni ya
Business Machines Tanzania Ltd
(BMTL), Ramakrishnan
Kirubakaran akimkabidhi zawadi mfanyakazi wa kampuni hiyo, Jatinder.
Mkurugenzi wa Mauzo wa Kampuni ya Business Machines Tanzania Ltd (BMTL), Ramakrishnan Kirubakaran akimkabidhi zawadi mfanyakazi wa kampuni hiyo, Jamson Winala.
LucasiMsaki (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi wa Mauzo wa Kampuni ya Business Machines Tanzania Ltd (BMTL), Ramakrishnan Kirubakaran.
Mkurugenzi wa Mauzo wa Kampuni ya Business Machines Tanzania Ltd (BMTL), Ramakrishnan Kirubakaran akimkabidhi zawadi mfanyakazi wa kampuni hiyo, Jamson Winala.
LucasiMsaki (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi wa Mauzo wa Kampuni ya Business Machines Tanzania Ltd (BMTL), Ramakrishnan Kirubakaran.
Mkurugenzi wa Mauzo wa Kampuni ya
Business Machines Tanzania Ltd
(BMTL), Ramakrishnan
Kirubakaran akiwa amepozi kwa picha na Meneja Mkuu wa Idara ya Rasilimali Watu wa Kampuni hiyo, Mariam Chamba baada ya kumkabidhi zawadi.
Wafanyakazi wa BMTL wakiwa katika sherehe hiyo
0 Comments