Jumla
ya wanamitindo kumi na mbili wamechaguliwa kuingia katika shindano la
kusaka UNIQUE MODEL OF A YEAR 2012 ambapo usaili huo ulifanyika katika
Hoteli ya Lamada jumapili. Wanamitindo
hao ni Elizabeth Petty,Phina revocatus,Amina Ayoub,Vivian
Gilbert,Mwanaidi Mokitu,Elizabeth Boniface,Magreth M safiri,Berther
Beson,Jennifer Njabili ..........
Wadau kadhaa wakimpa pongezi mkurugenzi wa shindano Methuselah Magese baada ya kazi nzito ya usaili kumalizika.pembeni ni baadhi ya models wasubiri picha za hapa na pale.
0 Comments