KAZI za wasanii zimekuwa zikitumika kwa njia tofauti , makampuni ya simu yabatumia kazi hizi kama miito ya simu.Je matumizi ya miziki kama miito ya simu inamchango gani kwa wasanii. Majibu ya maswali haya yatapatika Jumatatu 19 Novemba 2012, katika Jukwaa la Sanaa kuanzia saa4:00 asubuhi hadi saa 6:00 mchana katika ukumbi wa Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA).
Ruge Mutahaba atadadavua miito ya simu na mchango wake katika pato la wasanii.
0 Comments