Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikweteakionesha cheki ya Shilingi bilioni Nane iliyotolewa na Kampuni ya
VODACOM kwa ajili ya ujenzi wa hospitali maalumu itakayo shughulika kutibu
wanawake walioathirika na Ugonjwa wa Fistula pamoja na ulemavu mwingine.Wengine
katika picha kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Fedha, Mhe.Janet Mbene,Mkurugenzi
Mtendaji VODACOM Tanzania Bwana Rene Meza,Ofisa mtendaji Mkuu Hospitali ya CCBRT
Bwana Telemans Erwin na kulia ni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Bwana Said Meck
Sadik(picha na Freddy Maro)
Afya : Wadau washauri Bajeti mtazamo wa kijinsia kusaidia watoto Njiti
-
Na Deogratius Temba, Dar es salaam
Mtandao wa Haki ya afya ya uzazi umeshauri Serikali kutenga bajeti yenye
mtazamo wa Kijinsia katika sekta ya afya ili...
6 hours ago
0 Comments