BODI YA UTALII TANZANIA YAZINDUA MKAKATI WA KUTANGAZA UTALII KIMATAIFA


 kurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Dk. Aloyce Nzuki akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa mkakati wa miaka mitano wa Utangazaji wa Kimataifa wa Utalii wa Tanzania (International Marketing Strategy For Tanzania) uliofanyika jijini Dar es salaam.
 Mwenyekiti wa Shirikisho la vyama vya Utalii Tanzania (TCT), Gaudence Temu akizungumza wakati wa uzinduzi wa mkakati wa miaka mitano wa Utangazaji wa Kimataifa wa Utalii wa Tanzania (International Marketing Strategy For Tanzania) uliofanyika jijini Dar es salaam
 Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki akizindua mkakati wa miaka mitano wa Utangazaji wa Kimataifa wa Utalii wa Tanzania (International Marketing Strategy For Tanzania) uliofanyika jijini Dar es salaam
 Baadhi ya wadau wa uwindaji wakiwa katika hafla hiyo.
 Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki akiteta jambo na Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Dk. Aloyce Nzuki. 
 Wanne Star (kati) akiwaongoza wasanii wake wakati wa hafla hiyo.
 Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii (TTB), Balozi Charles Sanga akizungumza katika uzinduzi huo.
 Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki akizindua mkakati wa miaka mitano wa Utangazaji wa Kimataifa wa Utalii wa Tanzania (International Marketing Strategy For Tanzania) uliofanyika jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Dk. Aloyce Nzuki. Kulia ni Mwenyekiti wa Shirikisho la vyama vya Utalii Tanzania (TCT), Gaudence Temu. 
 Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki (kati) akimsikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Dk. Aloyce Nzuki. (kulia) wakati wa hafla ya uzinduzi wa mkakati wa miaka mitano Kutangaza Utalii wa Tanzania Kimataifa. Kushoto ni Mwenyekiti wa Shirikisho la vyama vya Utalii Tanzania (TCT), Gaudence Temu.
Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Dk. Aloyce Nzuki (kulia) akiteta jambo na Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii (TTB), Mjumbe wa Bodi Teddy Mapunda na Sam Diah wakati wa hafla hiyo

Post a Comment

0 Comments