KHADIJA S. KALILI PICHANI AMBAYE NI MUENDESHAJI WA BLOGU HII LEO NI SIKU YA KUMBUKUMBU YANGU MUHIMU KATIKA MAISHA YA KUZALIWA KWANGU MIAKA KADHAA ILIYOPITA NAMSHUKURU ALLAH NA WAZAZI WANGU WOTE YAANI MAMA NA BABA KWA KUNIZAA, KUNILEA IKIWA NI PAMOJA NA KUMWOMBEA DUA MAMANGU MZAZI MUNGU AIPUMZISHE ROHO YAKE KWA R.IP MAYO, PIA NAMSHUKURU MUNGU KWA MEMA YOTE ANAYONITENDEA KILA UCHAO.AMIN.
VIJANA KIBAHA WAPONGEZA HOTUBA YA NANAUKA, WAOMBA USIMAMIZI KATIKA MIKOPO,
AJIRA NA MFUMO WA PORTAL
-
Mwamvua Mwinyi, Kibaha April 22,2026
Baadhi ya vijana wameeleza kuwa licha ya Serikali kuwasilisha taarifa ya
utekelezaji wa shughuli za maendeleo ya vij...
46 minutes ago
0 Comments