Debora Nyange na Maangaza waimbaji wa kike katika bendi hiyo.
Bonny Kaprobo 'Sololist'
Queen Vero akinengua kwa madaha, bendi hii kila siku ya Jumatano hutoa burudani ya muziki wa Kiafrika katika Usiku wa Mwafika unaorindima kila ifikapo siku hiyo katika hoteli ya Peacock jijini Dar es Salaam.
RAIS SAMIA: TUKIO LA OKTOBA 29 HALIKUWA LA BAHATI MBAYA, LILIRATIBIWA
-
Na Janeth Raphael MichuziTv
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema
matukio ya vurugu yaliyotokea wakati na baada ya ...
3 hours ago
0 Comments