Bondia Ibrahimu Class kulia akipambana na Whence Haruni 'West Scopion' wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya ilala Dar es salaam Class anajitarisha na mpambano wake na Simba Watundulu litakalofanyika Sikukuu ya Idi pili katika ukumbi wa Diamond Jublee Bondia huyo ambaye yupo chini ya Makocha Habbu Kinyogoli pamoja na Rajabu Mhamila 'Super D' anategemea kuonesha ufundi wa ali ya juu katika mchezo wa masumbwi nchini. Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
WADAU TIBA ASILI,AFYA NA MAZINGIRA WASHAURIWA KUIMARISHA USHIRIKIANO
-
Na Mwandishi Wetu
WADAU wote wa Tiba Asili, Afya na Mazingira nchini Tanzania wameshauriwa
kuimarisha ushirikiano kati ya Serikali, mashirika na jamii k...
11 hours ago
0 Comments