Bondia wa kike Mchezo wa Masumbwi Pendo Njau akiwa amepozi baada ya kujifungua salama mtoto wake pia anawashukulu wadau wote kwa kumuombea uzazi salama na kwamba yupo njiani kurudi katika mchezo huo hivi punde baada ya likizo yake ya uzazi .
BODABODA WANANE KUPANDISHWA KIZIMBANI KWA UHARIBIFU WA MALI
-
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Protas Mutayoba Polisi Mkoa
wa Kipolisi Rufiji ametoa taarifa ya kukamatwa kwa watuhumiwa wnane ambao
ni bo...
3 hours ago
0 Comments