Social Icons

Friday, February 17, 2012

WANAMUZIKI WAPATA SEMINA ELEKEZI KUHUSU TUZO ZA MUZIKI ZA KILIMANJARO ZITAKAZOTOLEWA APILI 14,2012

 Meneja wa Bia ya Kilimanjaro George Kavishe akifafanua jambo katika semina ya siku moja iliyofanyika jana katika hoteli ya JB Belmont jijini Dar es Salaam.
 Muendeshaji wa Semina hiyo,Taji Liundi awajibika .
 Angelo Luhala ambaye anawakilisha Baraza la Sanaa la Taifa ambao ndiyo waratibu wa Tuzo hizo .
Mwenyekiti wa Kamati Elekezi ya Tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards,Innocent Nganyagwa a.k.a Ras Inno akitoa maelekezo ya Tuzo hizo kwa wanamuziki walioingia kwenye kinyang'anyiro cha tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2012 wakati wa semina ya siku moja inayofanyika kwenye ukumbi wa JB Belmont,Benjamini Mkapa Tower,jijini Dar es Salaam
 

No comments:

 
 
Blogger Templates