Social Icons

Wednesday, February 29, 2012

TAIFA STARS MAJARIBUNI NA MSUMBIJI 'THE MAMBAS' LEO

Timu ya Taifa Taifa Stars leo watakua na kibarua kigumu mbele ya timu ya Msumbiji 'Mambas'  katika mchezo wakuwania nafasi ya kucheza mataifa ya Africa nchini Afrika Kusini hapo mwakani.

Stars itajitupa uwanjani ikiwakosa washambuliaji Mbwana Samata na Tohmas Ulimwengu wanaocheza soka la kulipwa katika club ya TP Mazembe baada ya kocha wa timu ya Taifa kuwaacha kwa madai kuwa kiwango kimeshuka.

Stars bado inakumbukumbu ya kufungwa bao moja kwa bila na timu ya msumbiji wakati wa kutafuta tiketi ya kucheza fainali ya mataifa ya Africa

No comments:

 
 
Blogger Templates